Music

Sai Salu – Kaa Mbali | Download Mp3

“KAA MBALI ” huu ni wimbo wa mwisho kutoka kwenye nyimbo tano ambazo ziliaandaliwa na msanii “SAI SALU” ambazo ameamua kuwazawadia mashabiki zake kama bonasi track ndani ua siku moja mwaka huu wa 2026.

Wimbo huu wa ” KAA MBALI ” una maudhuii ama mitindo ya HipHop na bongo fleva ndani yake yaani kiufupi amechanganya vitu na kuupa wimbo huu utofauti na nyengine zilizowahi kutokaa.

Leave a Comment