Music

Mczo Morfan Ft. D voice – Nahaso | Download Mp3

” NAHASO ” huu ni wimbo mpya kabisa kutoka kwa mkali singeli anaefahamika kama ” MCZO MORFAN (BIG)” akiwa ba mzee wakubadirika badirika kwenye music D VOICE , ambae huyu yupo chini ya lebo kubwa afrika nzima ya W.C.B ambayo ipo chini ya msanii DIAMOND PLATNUMZ.

Wimbo huu ni mzuri na unafundisha saana watu wanao jipambania kwenye utafutaji wao hivyo unawaelezea wasichoke wala kukata tamaa kwenye utafutaji wao vijana hadi wapate na kufanikisha malengo yao. Kwa llwale mashabiki wa mziki mzuri na mziki bora basi pata fursa hii mpyaa ukasikilize wimbo huu na uache maoni yako.

Leave a Comment